1 Timotheo 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 nao wana hukumu kwa kuwa wameiacha imani yao ya kwanza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza. Tazama sura |