1 Timotheo 4:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mafundisho kama hayo huja kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki, hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mafundisho kama hayo huja kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki, hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa moto. Tazama sura |