1 Timotheo 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe msikivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Tazama sura |