1 Timotheo 1:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Miongoni mwao ni Humenayo na Aleksanda ambao nimewakabidhi kwa Shetani, ili wafundishwe wasimtukane Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Miongoni mwao ni Humenayo na Aleksanda ambao nimewakabidhi kwa Shetani, ili wafundishwe wasimtukane Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Miongoni mwao ni Humenayo na Aleksanda ambao nimewakabidhi kwa Shetani, ili wafundishwe wasimtukane Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Miongoni mwao wako Himenayo na Iskanda, ambao nimemkabidhi Shetani ili wafundishwe wasije wakakufuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Miongoni mwao wako Himenayo na Iskanda, ambao nimemkabidhi Shetani ili wafundishwe wasije wakakufuru. Tazama sura |