1 Timotheo 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 kama ilivyonenwa katika Habari Njema ya utukufu wa Mungu ahimidiwaye, niliyowekewa amana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mafundisho hayo hupatikana katika injili ya Mungu mtukufu na mwenye heri ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mafundisho hayo hupatikana katika injili ya Mungu mtukufu na mwenye heri ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mafundisho hayo hupatikana katika injili ya Mungu mtukufu na mwenye heri ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 ambayo yanakubaliana na Injili ya utukufu wa Mungu anayehimidiwa, ambayo mimi nimewekewa amana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 ambayo yanakubaliana na Injili ya utukufu wa Mungu anayehimidiwa, ambayo mimi nimewekewa amana. Tazama sura |