Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Samueli 9:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Yule mtumishi akamjibu Sauli, akasema, Tazama, mkononi mwangu nina fedha robo ya shekeli; nitampa huyo mtu wa Mungu fedha hiyo, atuambie njia yetu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli. Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia tutapitia njia ipi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli. Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia twende kwa njia ipi.”

Tazama sura Nakili

1 Samueli 9:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme akamwambia mtu wa Mungu, Karibu nyumbani kwangu ujiburudishe, nami nitakupa thawabu.

Twaa mkononi mikate kumi, na kaki, na mtungi wa asali, ukamwendee; naye atakuambia kijana atakuwaje.

Naye akamwambia, Tazama, katika mji huu mna mtu wa Mungu, naye ni mtu anaheshimiwa; yote asemayo hutukia hakika; basi, twende huko; labda yeye anaweza kutuambia kuhusu safari yetu tunayoiendea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo