1 Samueli 9:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Walipofika katika nchi ya Sufu, Sauli akamwambia yule mtumishi aliyefuatana naye, Hebu turudi, baba yangu asije akaacha kufikiri habari za punda akatufikiri sisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Walipofika kwenye nchi ya Sufu, Shauli alimwambia mtumishi wake, “Turudi nyumbani, la sivyo baba yangu ataacha kufikiria juu ya punda, na badala yake atakuwa na wasiwasi juu yetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Walipofika kwenye nchi ya Sufu, Shauli alimwambia mtumishi wake, “Turudi nyumbani, la sivyo baba yangu ataacha kufikiria juu ya punda, na badala yake atakuwa na wasiwasi juu yetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Walipofika kwenye nchi ya Sufu, Shauli alimwambia mtumishi wake, “Turudi nyumbani, la sivyo baba yangu ataacha kufikiria juu ya punda, na badala yake atakuwa na wasiwasi juu yetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Walipofika sehemu ya Sufu, Sauli akamwambia mtumishi aliyekuwa pamoja naye, “Njoo turudi, au baba yangu ataacha kufikiria kuhusu punda na kuanza kufadhaika kutuhusu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Walipofika sehemu ya Sufu, Sauli akamwambia mtumishi aliyekuwa pamoja naye, “Njoo, sisi na turudi, au baba yangu ataacha kufikiria juu ya punda na kuanza kufadhaika kutuhusu sisi.” Tazama sura |
Utakapoondoka kwangu leo, utakutana na wanaume wawili karibu na kaburi la Raheli, katika mpaka wa Benyamini huko Selsa; nao watakuambia, Punda hao uliokwenda kuwatafuta wameonekana; na tazama, baba yako ameacha kufikiri habari za punda, anafikiri habari zenu, akisema, Nifanye nini kwa ajili ya mwanangu?