1 Samueli 9:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Ndipo Sauli akamkaribia Samweli langoni, akasema, Tafadhali, uniambie, nyumba ya mwonaji iko wapi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hapo Shauli alimwendea Samueli aliyekuwa karibu na lango la mji na kumwuliza, “Nakuomba unioneshe nyumba ya mwonaji.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hapo Shauli alimwendea Samueli aliyekuwa karibu na lango la mji na kumwuliza, “Nakuomba unioneshe nyumba ya mwonaji.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hapo Shauli alimwendea Samueli aliyekuwa karibu na lango la mji na kumwuliza, “Nakuomba unioneshe nyumba ya mwonaji.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Sauli akamkaribia Samweli langoni na kumuuliza, “Tafadhali, je, unaweza kuniambia mahali nyumba ya mwonaji ilipo?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Sauli akamkaribia Samweli langoni na kumuuliza, “Tafadhali, je, waweza kuniambia mahali nyumba ya mwonaji ilipo?” Tazama sura |