1 Samueli 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Walipokuwa wakikwea mjini, wakakutana na wasichana, waliokuwa wakienda kuteka maji; wakawaambia, Je! Mwonaji yuko? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Walipokuwa wanapanda mlima kuelekea mjini, wakakutana na wasichana waliokuwa wakienda kuteka maji. Wakawauliza wasichana hao, “Je, mwonaji yuko mjini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Walipokuwa wanapanda mlima kuelekea mjini, wakakutana na wasichana waliokuwa wakienda kuteka maji. Wakawauliza wasichana hao, “Je, mwonaji yuko mjini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Walipokuwa wanapanda mlima kuelekea mjini, wakakutana na wasichana waliokuwa wakienda kuteka maji. Wakawauliza wasichana hao, “Je, mwonaji yuko mjini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Walipokuwa wakipanda mlima kwenda mjini, wakakutana na baadhi ya wasichana wakikuja kuchota maji, nao wakawauliza, “Je, mwonaji yuko?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Walipokuwa wakipanda mlima kwenda mjini, wakakutana na baadhi ya wasichana wanakuja kuchota maji, nao wakawauliza, “Je, mwonaji yuko?” Tazama sura |