1 Samueli 8:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 BWANA akamwambia Samweli, Isikilize sauti yao, ukawateulie mfalme. Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, Kila mtu aende nyumbani kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Wasikilize na wapatie mfalme.” Kisha Samueli akawaambia Waisraeli warudi nyumbani, kila mtu mjini kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Wasikilize na wapatie mfalme.” Kisha Samueli akawaambia Waisraeli warudi nyumbani, kila mtu mjini kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Wasikilize na wapatie mfalme.” Kisha Samueli akawaambia Waisraeli warudi nyumbani, kila mtu mjini kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mwenyezi Mungu akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia Waisraeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.” Tazama sura |