1 Samueli 7:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ndipo wana wa Israeli wakayaondoa Mabaali na Maashtorethi, wakamtumikia BWANA peke yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Hivyo, Waisraeli wakatupilia mbali sanamu za Mabaali na Maashtarothi, wakamtumikia Mwenyezi-Mungu peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Hivyo, Waisraeli wakatupilia mbali sanamu za Mabaali na Maashtarothi, wakamtumikia Mwenyezi-Mungu peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Hivyo, Waisraeli wakatupilia mbali sanamu za Mabaali na Maashtarothi, wakamtumikia Mwenyezi-Mungu peke yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hivyo Waisraeli wakaweka mbali Mabaali yao na Maashtorethi yao, nao wakamtumikia Mwenyezi Mungu peke yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hivyo Waisraeli wakaweka mbali Mabaali yao na Maashtorethi, nao wakamtumikia bwana peke yake. Tazama sura |