1 Samueli 7:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Naye huenda mwaka kwa mwaka kuzunguka mpaka Betheli, na Gilgali, na Mispa; akawaamua katika miji yote ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kila mwaka Samueli alitembelea Betheli, Gilgali na Mizpa, na kuwaamua Waisraeli katika miji hiyo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kila mwaka Samueli alitembelea Betheli, Gilgali na Mizpa, na kuwaamua Waisraeli katika miji hiyo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kila mwaka Samueli alitembelea Betheli, Gilgali na Mizpa, na kuwaamua Waisraeli katika miji hiyo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli hadi Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli mpaka Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote. Tazama sura |