1 Samueli 6:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na hao wakuu watano wa Wafilisti, hapo walipoyaona hayo, walirejea Ekroni siku iyo hiyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Wale wakuu watano wa Wafilisti walipoona hayo, walirudi Ekroni, siku hiyohiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Wale wakuu watano wa Wafilisti walipoona hayo, walirudi Ekroni, siku hiyohiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Wale wakuu watano wa Wafilisti walipoona hayo, walirudi Ekroni, siku hiyohiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wale watawala watano wa Wafilisti waliona haya yote, nao wakarudi Ekroni siku ile ile. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wale watawala watano wa Wafilisti waliona haya yote, nao wakarudi siku ile ile mpaka Ekroni. Tazama sura |