1 Samueli 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi, hilo sanduku la BWANA lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sanduku la Mwenyezi Mungu lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sanduku la bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba, Tazama sura |