1 Samueli 30:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Daudi akauliza kwa BWANA, akasema, Je! Nikiwafuata jeshi hili, nitawapata? Naye akamjibu, Fuata; kwa kuwa hakika utawapata, nawe hukosi utawapokonya wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, genge hili nilifuate? Na je nitalikamata?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Lifuate kwani utalipata na kuwaokoa hao waliotekwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, genge hili nilifuate? Na je nitalikamata?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Lifuate kwani utalipata na kuwaokoa hao waliotekwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, genge hili nilifuate? Na je nitalikamata?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Lifuate kwani utalipata na kuwaokoa hao waliotekwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 naye Daudi akamuuliza Mwenyezi Mungu, “Je, nifuatie kundi hili la wavamizi? Je, nitawapata?” Mwenyezi Mungu akajibu, “Wafuatie. Hakika utawapata na utafanikiwa kuwaokoa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 naye Daudi akamuuliza bwana, “Je, nifuatie kundi hili la wavamizi? Je, nitawapata?” bwana akajibu, “Wafuatie. Hakika utawapata na utafanikiwa kuwaokoa.” Tazama sura |