1 Samueli 30:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Wala hawakupotewa na kitu, mdogo wala mkubwa, wana wala binti, nyara wala chochote walichojitwalia hao; Daudi akavirudisha vyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Chochote kilichokuwa chao, kiwe kikubwa au kidogo, mtoto wa kiume au wa kike, Daudi alikikomboa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Chochote kilichokuwa chao, kiwe kikubwa au kidogo, mtoto wa kiume au wa kike, Daudi alikikomboa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Chochote kilichokuwa chao, kiwe kikubwa au kidogo, mtoto wa kiume au wa kike, Daudi alikikomboa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hakuna chochote kilichopotea: kijana au mzee, mvulana au msichana, nyara au kitu kingine chochote walichokuwa wamechukua. Daudi akarudisha kila kitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hakuna chochote kilichopotea: kijana au mzee, mvulana au msichana, nyara au kitu kingine chochote walichokuwa wamechukua. Daudi akarudisha kila kitu. Tazama sura |