1 Samueli 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua Mwenyezi Mungu. Neno la Mwenyezi Mungu lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua bwana. Neno la bwana lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama sura |