1 Samueli 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Samweli akakua, naye BWANA alikuwa pamoja naye, wala hakuliacha neno lake lolote lianguke chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha neno lolote la Samweli lianguke chini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 bwana alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha hata moja ya maneno yake lianguke chini. Tazama sura |