1 Samueli 28:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa Mwenyezi Mungu, lakini Mwenyezi Mungu hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kupitia manabii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa bwana, lakini bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii. Tazama sura |