1 Samueli 28:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kwa sababu wewe hukuitii sauti ya BWANA, wala hukumtimilizia hasira yake kali juu ya Amaleki; kwa sababu hii BWANA amekutendea hili leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa sababu wewe hukumtii Mwenyezi Mungu, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, Mwenyezi Mungu amekutendea mambo haya leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa sababu wewe hukumtii bwana, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, bwana amekutendea mambo haya leo. Tazama sura |