1 Samueli 28:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Samweli akasema, Kwa nini unaniuliza mimi, wakati BWANA amekuacha, naye amekuwa adui yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, kuona Mwenyezi Mungu amekuacha na kuwa adui yako? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu bwana amekuacha na kuwa adui yako? Tazama sura |