1 Samueli 28:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Naye Sauli akamwapia kwa BWANA, akasema, Aishivyo BWANA, haitakupata adhabu yoyote kwa jambo hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la Mwenyezi Mungu, akasema, “Kwa hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la bwana, akasema, “Kwa hakika kama bwana aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.” Tazama sura |