1 Samueli 26:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kisha Daudi akaenda ng'ambo ya pili, akasimama juu ya kilima, mbali sana; palipokuwapo nafasi tele katikati yao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu mlimani mbali na kundi la Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu mlimani mbali na kundi la Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha, Daudi akaenda upande wa pili wa bonde hilo, akasimama juu mlimani mbali na kundi la Shauli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kisha Daudi akavuka upande mwingine na kusimama juu ya kilima, mahali palipokuwa na nafasi pana kati yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kisha Daudi akavuka upande mwingine na kusimama juu ya kilima mahali palipokuwa na nafasi pana kati yao. Tazama sura |