1 Samueli 25:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Daudi akatuma vijana kumi, Daudi naye akawaambia hao vijana, Kweeni mwende Karmeli, na kumwendea huyu Nabali ili mkampe salamu zangu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia, “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia, “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hivyo, akawatuma vijana kumi, akawaambia, “Nendeni kwa Nabali huko Karmeli mkampelekee salamu zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Basi akatuma vijana kumi na kuwaambia, “Pandeni kwa Nabali huko Karmeli, mkamsalimie kwa jina langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Basi akatuma vijana kumi na kuwaambia, “Pandeni kwa Nabali huko Karmeli, mkamsalimie kwa jina langu. Tazama sura |