1 Samueli 25:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Naye Daudi akamwambia Abigaili, Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye amekuleta hivi leo kunilaki; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Daudi akamwambia Abigaili, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Daudi akamwambia Abigaili, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Daudi akamwambia Abigaili, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma kunilaki leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe bwana, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo. Tazama sura |