1 Samueli 25:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Tena itakuwa, hapo BWANA atakapokuwa amemtendea bwana wangu sawasawa na mema yote aliyoyanena juu yako, na kukutawaza juu ya Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Baada ya Mwenyezi-Mungu kukutendea mema yote aliyokuahidi, na kukuteua kuwa mtawala wa Israeli, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Baada ya Mwenyezi-Mungu kukutendea mema yote aliyokuahidi, na kukuteua kuwa mtawala wa Israeli, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Baada ya Mwenyezi-Mungu kukutendea mema yote aliyokuahidi, na kukuteua kuwa mtawala wa Israeli, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Mwenyezi Mungu atakapokuwa ameshamtendea bwana wangu kila kitu chema alichoahidi kumhusu na kumweka kuwa kiongozi wa Israeli, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 bwana atakapokuwa ameshamtendea bwana wangu kila kitu chema alichoahidi kumhusu yeye na kumweka kuwa kiongozi wa Israeli, Tazama sura |