1 Samueli 24:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Nawe umeonesha leo jinsi ulivyonitendea mema, kwani BWANA aliponitia mikononi mwako, hukuniua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Leo, umeonesha jinsi ulivyo mwema kwangu. Hukuniua ijapokuwa Mwenyezi-Mungu alinitia mikononi mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Leo, umeonesha jinsi ulivyo mwema kwangu. Hukuniua ijapokuwa Mwenyezi-Mungu alinitia mikononi mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Leo, umeonesha jinsi ulivyo mwema kwangu. Hukuniua ijapokuwa Mwenyezi-Mungu alinitia mikononi mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Sasa umeniambia kuhusu mema uliyonitendea. Mwenyezi Mungu alinitia mikononi mwako, lakini wewe hukuniua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Sasa umeniambia juu ya mema uliyonitendea. bwana alinitia mikononi mwako, lakini wewe hukuniua. Tazama sura |