1 Samueli 24:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 BWANA atuamue, mimi na wewe, na BWANA anilipizie kisasi changu kwako; lakini mkono wangu hautakuwa juu yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mwenyezi-Mungu na aamue kati yangu, na wewe. Yeye akulipize kisasi lakini mimi kamwe sitanyosha mkono wangu dhidi yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mwenyezi-Mungu na aamue kati yangu, na wewe. Yeye akulipize kisasi lakini mimi kamwe sitanyosha mkono wangu dhidi yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mwenyezi-Mungu na aamue kati yangu, na wewe. Yeye akulipize kisasi lakini mimi kamwe sitanyosha mkono wangu dhidi yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu na ahukumu kati yangu na wewe. Naye Mwenyezi Mungu alipize mabaya unayonitendea, lakini mkono wangu hautakugusa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana na ahukumu kati yangu na wewe. Naye bwana alipize mabaya unayonitendea, lakini mkono wangu hautakugusa. Tazama sura |