1 Samueli 23:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Lakini akaja mjumbe kwa Sauli, kusema, Njoo upesi, kwa kuwa Wafilisti wameishambulia nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Hapo mtu mmoja akamwendea Shauli na kumwambia, “Njoo haraka; Wafilisti wanaishambulia nchi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Hapo mtu mmoja akamwendea Shauli na kumwambia, “Njoo haraka; Wafilisti wanaishambulia nchi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Hapo mtu mmoja akamwendea Shauli na kumwambia, “Njoo haraka; Wafilisti wanaishambulia nchi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanaishambulia nchi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanaishambulia nchi.” Tazama sura |