1 Samueli 23:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Basi Daudi akamwuliza BWANA, Je! Niende nikawapige hao Wafilisti? Naye BWANA akamwambia Daudi, Nenda ukawapige Wafilisti, na kuuokoa Keila. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti hawa?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Ndiyo, nenda ukawashambulie Wafilisti na kuuokoa mji wa Keila.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti hawa?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Ndiyo, nenda ukawashambulie Wafilisti na kuuokoa mji wa Keila.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti hawa?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Ndiyo, nenda ukawashambulie Wafilisti na kuuokoa mji wa Keila.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 akauliza kwa Mwenyezi Mungu, akisema, “Je, niende na kuwashambulia hawa Wafilisti?” Mwenyezi Mungu akamjibu, “Nenda, washambulie Wafilisti na uuokoe Keila.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 akauliza kwa bwana, akisema, “Je, niende na kuwashambulia hawa Wafilisti?” bwana akamjibu, “Nenda, washambulie Wafilisti na uuokoe Keila.” Tazama sura |