1 Samueli 21:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Ndipo huyo Akishi akawaambia watumishi wake, Angalieni, mnaona ya kuwa mtu huyu ana wazimu; basi, maana yake nini kumleta kwangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Akishi akawaambia watumishi wake, “Mnajua kuwa mtu huyu ni mwendawazimu; kwa nini mmemleta kwangu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Akishi akawaambia watumishi wake, “Mnajua kuwa mtu huyu ni mwendawazimu; kwa nini mmemleta kwangu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Akishi akawaambia watumishi wake, “Mnajua kuwa mtu huyu ni mwendawazimu; kwa nini mmemleta kwangu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Akishi akawaambia watumishi wake, “Tazameni mtu huyu! Ana wazimu! Kwa nini mnamleta kwangu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Akishi akawaambia watumishi wake, “Tazameni mtu huyu! Ana wazimu! Kwa nini mnamleta kwangu? Tazama sura |