1 Samueli 20:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Yonathani akamjibu Sauli, baba yake, akamwambia, Auawe kwa sababu gani? Amefanya nini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Yonathani akamjibu, “Kwa nini auawe? Amefanya nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Yonathani akamjibu, “Kwa nini auawe? Amefanya nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Yonathani akamjibu, “Kwa nini auawe? Amefanya nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Yonathani akamuuliza baba yake, “Kwa nini auawe? Kwani amefanya nini?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Yonathani akamuuliza baba yake, “Kwa nini auawe? Kwani amefanya nini?” Tazama sura |