1 Samueli 20:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Basi Daudi akajificha shambani; na mwezi ulipoandama, mfalme aliketi kula chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Basi, Daudi akajificha shambani. Wakati wa sherehe za mwezi mwandamo, mfalme Shauli akaketi mezani kula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Basi, Daudi akajificha shambani. Wakati wa sherehe za mwezi mwandamo, mfalme Shauli akaketi mezani kula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Basi, Daudi akajificha shambani. Wakati wa sherehe za mwezi mwandamo, mfalme Shauli akaketi mezani kula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Basi Daudi akajificha shambani, na sikukuu ya Mwezi Mwandamo ilipowadia, mfalme akaketi ili ale. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Basi Daudi akajificha shambani, na sikukuu ya Mwezi Mwandamo ilipowadia, mfalme akaketi ili ale. Tazama sura |