1 Samueli 20:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Bali nikimwambia yule mtoto, Tazama, mishale iko huko mbele yako; basi nenda zako, kwa maana BWANA amekuamuru uende zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Lakini nikimwambia, ‘Tazama, mishale iko mbele yako,’ hapo, ondoka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu atakuwa anataka uende mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Lakini nikimwambia, ‘Tazama, mishale iko mbele yako,’ hapo, ondoka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu atakuwa anataka uende mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Lakini nikimwambia, ‘Tazama, mishale iko mbele yako,’ hapo, ondoka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu atakuwa anataka uende mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Lakini nikimwambia huyo mvulana, ‘Angalia, mishale iko mbele yako,’ basi inakupasa uondoke, kwa sababu Mwenyezi Mungu amekuruhusu uende zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Lakini kama nikimwambia huyo mvulana, ‘Angalia, mishale iko mbele yako,’ basi inakupasa uondoke, kwa sababu bwana amekuruhusu uende zako. Tazama sura |