1 Samueli 20:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Nami nitapiga mishale mitatu kandokando yake, kana kwamba ninapiga shabaha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mimi nitapiga mishale mitatu kandokando kana kwamba ninalenga shabaha fulani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mimi nitapiga mishale mitatu kandokando kana kwamba ninalenga shabaha fulani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mimi nitapiga mishale mitatu kandokando kana kwamba ninalenga shabaha fulani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Nitapiga mishale mitatu kando yake, kana kwamba nilienda kulenga shabaha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Nitapiga mishale mitatu kando yake, kama kwamba nilikwenda kulenga shabaha. Tazama sura |