1 Samueli 2:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Pinde zao mashujaa zimevunjika, Na hao waliojikwaa wamepata nguvu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Pinde za wenye nguvu zimevunjika. Lakini wadhaifu wanaendelea kupata nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Pinde za wenye nguvu zimevunjika. Lakini wadhaifu wanaendelea kupata nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Pinde za wenye nguvu zimevunjika. Lakini wadhaifu wanaendelea kupata nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Pinde za mashujaa zimevunjika, lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Pinde za mashujaa zimevunjika, lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu. Tazama sura |