1 Samueli 2:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Msizidi kunena kwa kutakabari hivyo; Majivuno yasitoke vinywani mwenu; Kwa kuwa BWANA ni Mungu wa maarifa, Naye huyapima matendo kwa mizani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Acheni kujisifu, acheni kusema ufidhuli. Maana ajuaye ni Mwenyezi-Mungu. Yeye huyapima matendo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Acheni kujisifu, acheni kusema ufidhuli. Maana ajuaye ni Mwenyezi-Mungu. Yeye huyapima matendo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Acheni kujisifu, acheni kusema ufidhuli. Maana ajuaye ni Mwenyezi-Mungu. Yeye huyapima matendo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Mungu ajuaye, na yeye hupima matendo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, kwa kuwa bwana ndiye Mungu ajuaye, na kwa yeye matendo hupimwa. Tazama sura |