1 Samueli 2:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza Mwenyezi Mungu na wanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza bwana na wanadamu. Tazama sura |