1 Samueli 2:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Lakini Samweli alikuwa akitumika mbele za BWANA, naye alikuwa kijana aliyevaa naivera ya kitani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Mwenyezi Mungu, kijana akivaa kizibau cha kitani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani. Tazama sura |