1 Samueli 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Hivyo dhambi yao wale vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa BWANA; kwa maana hao watu walidharau sadaka ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hii dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa Mwenyezi Mungu, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya Mwenyezi Mungu kwa dharau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hii Dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa bwana, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya bwana kwa dharau. Tazama sura |