1 Samueli 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Naye Hana akaomba, akasema, Moyo wangu wamshangilia BWANA, Pembe yangu imetukuka katika BWANA, Kinywa changu kimepanuka juu ya adui zangu; Kwa kuwa naufurahia wokovu wako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Halafu Hana aliomba na kusema: “Namshangilia Mwenyezi-Mungu moyoni mwangu. Namtukuza Mwenyezi-Mungu aliye nguvu yangu. Nawacheka adui zangu; maana naufurahia ushindi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Halafu Hana aliomba na kusema: “Namshangilia Mwenyezi-Mungu moyoni mwangu. Namtukuza Mwenyezi-Mungu aliye nguvu yangu. Nawacheka adui zangu; maana naufurahia ushindi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Halafu Hana aliomba na kusema: “Namshangilia Mwenyezi-Mungu moyoni mwangu. Namtukuza Mwenyezi-Mungu aliye nguvu yangu. Nawacheka adui zangu; maana naufurahia ushindi wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kisha Hana akaomba na kusema: “Moyo wangu wamshangilia Mwenyezi Mungu, katika Mwenyezi Mungu pembe yangu imeinuliwa juu. Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, kwa kuwa naufurahia wokovu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kisha Hana akaomba na kusema: “Moyo wangu wamshangilia bwana, katika bwana pembe yangu imeinuliwa juu. Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, kwa kuwa naufurahia wokovu wako. Tazama sura |