1 Samueli 18:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Sauli akaona na kutambua ya kwamba BWANA alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Sauli alipotambua kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Sauli alipotambua kuwa bwana alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi, Tazama sura |