1 Samueli 18:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na hao watumishi wa Sauli wakampasha habari, wakisema, Ndivyo hivyo alivyosema Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Watumishi wa Sauli walipomweleza vile Daudi alivyosema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Watumishi wa Sauli walipomweleza yale Daudi aliyoyasema, Tazama sura |