1 Samueli 18:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Lakini Israeli wote na Yuda wakampenda Daudi; kwa kuwa aliwaongoza wakienda na kurudi vitani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi, kwani aliwaongoza vizuri vitani na kuwarudisha kwa mafanikio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi, kwani aliwaongoza vizuri vitani na kuwarudisha kwa mafanikio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi, kwani aliwaongoza vizuri vitani na kuwarudisha kwa mafanikio. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini Israeli wote na Yuda walimpenda Daudi, kwa sababu ndiye alikuwa akiwaongoza katika vita vyao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini Israeli wote na Yuda walimpenda Daudi, kwa sababu ndiye alikuwa akiwaongoza katika vita vyao. Tazama sura |