1 Samueli 18:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Naye Daudi akatenda kwa busara katika njia zake zote naye BWANA alikuwa pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Katika kila kitu alichofanya, Daudi alipata mafanikio makubwa, kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Katika kila kitu alichofanya, Daudi alipata mafanikio makubwa, kwa sababu bwana alikuwa pamoja naye. Tazama sura |