1 Samueli 18:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu bwana alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye. Tazama sura |