1 Samueli 17:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Tena amevaa mabamba ya shaba miguuni mwake, naye alikuwa na mkuki wa shaba kati ya mabega yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Miguu yake pia ilikuwa na kinga ya shaba na mabegani pake alibeba mkuki wa shaba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Miguu yake pia ilikuwa na kinga ya shaba na mabegani pake alibeba mkuki wa shaba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Miguu yake pia ilikuwa na kinga ya shaba na mabegani pake alibeba mkuki wa shaba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Miguuni mwake alivaa mabamba ya shaba, na alikuwa na mkuki wa shaba mgongoni mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Miguuni mwake alivaa mabamba ya shaba, na alikuwa na mkuki wa shaba mgongoni mwake. Tazama sura |