1 Samueli 17:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Naye akamgeukia ili kumwelekea mtu mwingine, akasema naye jinsi ile ile; na watu wakamjibu tena jinsi ile ile kama ya kwanza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Daudi akamgeukia mtu mwingine akamwuliza swali hilohilo; na kila alipouliza, alipata jibu lilelile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Daudi akamgeukia mtu mwingine akamwuliza swali hilohilo; na kila alipouliza, alipata jibu lilelile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Daudi akamgeukia mtu mwingine akamwuliza swali hilohilo; na kila alipouliza, alipata jibu lilelile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Daudi akamgeukia mtu mwingine na kumuuliza jambo lilo hilo, nao watu wakamjibu vilevile kama mwanzo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Daudi akamgeukia mtu mwingine na kumuuliza jambo lilo hilo, nao watu wakamjibu vilevile kama mwanzo. Tazama sura |