1 Samueli 17:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na watu wote wa Israeli walipomwona yule mtu wakakimbia, wakaogopa sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Waisraeli walipomwona Goliathi, walimkimbia, na kumwogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Waisraeli walipomwona Goliathi, walimkimbia, na kumwogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Waisraeli walipomwona Goliathi, walimkimbia, na kumwogopa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Waisraeli walipomwona yule mtu, wote wakamkimbia kwa woga mkuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Waisraeli walipomwona yule mtu, wote wakamkimbia kwa woga mkuu. Tazama sura |