1 Samueli 16:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Basi, Roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Baadaye roho ya Mwenyezi-Mungu ilimwacha Shauli, na roho mwovu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ikamsumbua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Baadaye roho ya Mwenyezi-Mungu ilimwacha Shauli, na roho mwovu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ikamsumbua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Baadaye roho ya Mwenyezi-Mungu ilimwacha Shauli, na roho mwovu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ikamsumbua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Basi Roho wa Mwenyezi Mungu alikuwa ameondoka kwa Sauli, nayo roho mbaya ikaachiwa nafasi na Mwenyezi Mungu ili imtese. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Basi Roho wa bwana alikuwa ameondoka kwa Sauli, nayo roho mbaya ikaachiwa nafasi na bwana ili imtese. Tazama sura |